Odilo wa Cluny

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu ya Mt. Odilone katika Basilika la Mt. Urban, Troyes, Ufaransa.

Odilo wa Cluny (962 hivi - 1 Januari 1049) alikuwa abati wa tano wa monasteri ya Cluny nchini Ufaransa, ambaye aliifanya kuwa muhimu kuliko zote za Ulaya na kuhamasisha urekebisho wa nyingine nyingi.

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Januari[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Odilo wa Cluny kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.