Marehemu wote

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Siku ya marehemu wote, mchoro wa Jakub Schikaneder, 1888.

Marehemu wote ni adhimisho la baadhi ya madhehebu ya Ukristo kulingana na imani katika hali ya watu waliofariki dunia. Kwa baadhi yake ni suala la kuwakumbuka tu, kwa baadhi ni suala la kuwaombea pia.

Ni muhimu hasa katika Kanisa la Kilatini (ambalo linaliadhimisha tarehe 2 Novemba[1], mara baada ya sherehe ya Watakatifu wote) na katika Ukristo wa mashariki (ambao linaliadhimisha mara kadhaa kwa mwaka, hasa siku ya Jumamosi, ambayo ndiyo siku ya Yesu kukaa kaburini kabla hajafufuka Siku ya Bwana).

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marehemu wote kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.