Papa wa Seleukia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa wa Seleukia (alifariki Seleukia, mwanzoni mwa karne ya 3) alikuwa Mkristo wa Likaonia, leo nchini Uturuki, aliyeteswa kikatili na hatimaye akauawa katika dhuluma ya kaisari Maximian kwa sababu ya imani yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Machi[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.