Joji wa Vienne
Mandhari
Joji wa Vienne (alifariki 677 hivi) alikuwa askofu wa 35 wa mji huo (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 664 [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/76005
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Louis Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. I, Parigi, 1907. (Kifaransa)
- De Sancto Georgio episcopo Viennensi in Gallia, Acta Sanctorum Novembris, vol. I, p. 565 (Kilatini)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |