Isaka Jogues

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Isaka Jogues, S.J. (Orleans, Ufaransa 10 Januari 1607Ossernenon, Marekani, 18 Oktoba 1648) alikuwa padri Mjesuiti ambaye mwaka 1636 alijiunga na wamisionari kwa Waindio wa Amerika Kaskazini[1] akauawa nao kwa ajili ya imani yake.

Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri tarehe 21 Juni 1925, na kuwa mtakatifu tarehe 29 Juni 1930[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[3]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.