Pinito wa Knoso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pinito wa Knoso (alifariki Krete, Ugiriki, 180 hivi) alikuwa askofu na mwandishi maarufu aliyezungumziwa na Eusebi wa Kaisarea na Jeromu[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.