Baldwino wa Rieti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Baldwino wa Rieti, O.Cist. (kwa Kiitalia pia: Baldovino; alifariki Rieti, Italia ya Kati, 1140) alikuwa mfuasi wa Bernardo wa Clairvaux katika urekebisho wa Wabenedikto wa Citeaux, Ufaransa. Ndiye aliyemrudisha Italia mwaka 1130 ili aanzishe monasteri karibu na Rieti na kuwa abati wake wa kwanza [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 24 Julai[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.