Citeaux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Abasia ya Citeaux.

Citeaux ni abasia (kwa Kifaransa: Abbaye de Cîteaux) ya Kanisa Katoliki huko Saint-Nicolas-lès-Cîteaux, kusini kwa Dijon, Ufaransa. Ni maarufu kama chanzo (1098) cha urekebisho wa umonaki wa Kibenedikto ulioenea haraka kila mahali katika karne ya 12, hasa kutokana na mvuto wa mwanashirika Bernardo wa Clairvaux.

Siku hizi inakaliwa na Watrapisti (ufupisho wa jina la shirika lao ni OCSO, Ordo Cistercensium Strictae Observantiae) wasiopungua 35.

Wasitoo wengine wanaunda shirikisho la O.Cist..

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Plouvier, M. and Saint-Denis, A. (eds.), 1998: Pour une histoire monumentale de Cîteaux, 1098-1998 (Commentarii cistercienses. Studia et documenta, 8), Cîteaux.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Picha[hariri | hariri chanzo]

Majiranukta kwenye ramani: 47°07′41″N 5°05′36″E / 47.12806°N 5.09333°E / 47.12806; 5.09333

Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Citeaux kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.