Luka wa Homs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo wa kifodini chake na cha wenzake Silvano na Mosyo.

Luka wa Homs (alifariki Homs, Syria, 311 hivi) alikuwa shemasi wa mji huo ambaye aliuawa kwa imani ya Kikristo kwa kutupwa pamoja na askofu Silvano na msomaji Mosyo waliwe na wanyama wakali wakati wa dhuluma ya kaisari Maximinus[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Februari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.