Mustiola
Mandhari
Mustiola (alifariki Chiusi, Toscana, Italia, karne ya 3) alikuwa mwanamke anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mwenye sifa ya mfiadini[1].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba[2]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |