Silvano wa Levroux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Silvano wa Levroux (alifariki Levroux, karibu na Bourges, karne ya 5 hivi) alikuwa mkaapweke nchini Ufaransa[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Septemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Jean Villepelet, Sur les traces des saints en Berry, Bourges, 1968 (au 22 septembre).
  • J.-P. Saint-Aubin, « Le culte de saint Sylvain et son origine », Revue de l'Académie du Centre, 97, 1971, p.|41-52.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.