Esuperansi wa Ravenna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Altare yenye masalia yake.

Esuperansi wa Ravenna (430 hivi - Ravenna, Emilia-Romagna, Italia, 29 Mei 477) alikuwa askofu wa 19 wa mji huo wa Italia Kaskazini kuanzia mwaka 458 hivi, wakati Italia ilipotekwa na Waostrogoti[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Mei[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.