Juliani wa Le Mans
Mandhari
Juliani wa Le Mans alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo (leo nchini Ufaransa).
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 27 Januari[1].
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Alipewa uaskofu huko Roma, Italia, katikati ya karne ya 3 akatumwa Galia kuinjilisha kabila la Wasenomani. Alipofika kwao alijivutia mioyo yao kwa huduma zake kwa maskini, wagonjwa na mayatima, mbali ya miujiza mbalimbali.
Alipofikia uzee alikwenda kuishi kama mkaapweke.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Saint of the Day, January 27: Julian of Le Mans Archived 29 Desemba 2019 at the Wayback Machine. at SaintPatrickDC.org
- Catholic Online: Julian of Le Mans
- Catholic Forum: Julian of Le Mans
- San Giuliano di Le Mans
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |