Nenda kwa yaliyomo

Vinebadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vinebadi (Nogent-sur-Seine, karne ya 6 - Troyes, leo nchini Ufaransa, 620/623) alikuwa mmonaki mwenye maisha magumu sana.

Baada ya upadrisho, aliishi miaka mingi kama mkaapweke alijiunga na monasteri akawa abati wake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Aprili[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.