Nenda kwa yaliyomo

Felisi wa Nola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Felisi wa Nola akipigwa.

Felisi wa Nola (alifariki Nola, Campania, Italia, 250 hivi) alikuwa padri wa mji huo karibu na Napoli.

Alivyosimulia Paulino wa Nola, aliuza mali yake kusaidia fukara akadhulumiwa kwa imani yake chini ya kaisari Decius. Gerezani aliteswa vikali asife; baada ya amani kupatikana tena alirudi kwa waumini wake akitawa kuishi kifukara hadi uzee mkubwa [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu lakini siku hizi si tena kama mfiadini [2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Januari[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/37550
  2. Calendarium Romanum (Libreria Editrice Vaticana 1969), p. 112
  3. Martyrologium Romanum
  • Donald Attwater and Catherine Rachel John, "The Penguin Dictionary of Saints." 3rd edition, New York: Penguin Books, 1993, ISBN|0-14-051312-4.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.