Nenda kwa yaliyomo

Boris na Gleb

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya Wat. Boris na Gleb (karne ya 13-14, Makumbusho ya Kiev ya sanaa ya Kirusi).
Ramani inayoonyesha hali ilivyokuwa mwaka 1015 hivi katika Ulaya Mashariki.

Boris na Gleb (karne ya 10 - 1015 hivi) walikuwa watoto wa Vladimir Mkuu, mtemi wa Kiev (leo nchini Ukraina) na wa Novgorod (leo nchini Urusi) kuanzia mwaka 980 hadi kifo chake (1015).

Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini kwa kuwa walikataa kutumia silaha kujihami dhidi ya kaka yao Sviatopolk aliyepanga kuua wadogo wake wote awe mrithi pekee wa baba yao[1].

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 24 Julai[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.