Charbel Makhlouf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Charbel Makhlouf.

Charbel Makhluf, kwa Kiarabu مار شربل, M (8 Mei 182824 Desemba 1898), aliitwa kwanza Youssef Antoun Makhlouf alipozaliwa huko Bekaa Kafra katika nchi ya Lebanon kaskazini mpaka akawa mmonaki wa Kanisa la Wamaroni, halafu pia padri.

Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 5 Desemba 1965, halafu mtakatifu tarehe 9 Oktoba 1977.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Julai[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.