Leonsi, Ipasi na Theoduli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leonsi, Ipasi na Theoduli (waliofariki Tripoli, Lebanoni, 70/79) ni kati ya Wakristo wa Lebanoni wanaosemekana waliuawa kwa ajili ya imani yao wakati wa kaisari Vespasiani.

Kwa kuwa hayajulikani mengine ya hakika kuhusu historia ya askari hao[1], hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Inawezekana hadithi juu yao zilitungwa kuanzia habari za Leonsi wa Tarabulus, mfiadini maarufu zaidi wa Foinike.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Juni[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.