Nenda kwa yaliyomo

Honorina wa Rouen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Honorina juu ya kanisa la Corbeil-Cerf.

Honorina wa Rouen (kwa Kifaransa: Honorine; alifariki Ufaransa Kaskazini, 303 hivi) alikuwa mwanamke Mkristo aliyeuawa katika dhuluma wa kaisari Dioklesyano dhidi ya Wakristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu bikira na mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Februari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.