Antimo wa Roma
Mandhari
Antimo wa Roma (alifariki Roma, Italia, 303) alikuwa Mkristo wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa ajili ya imani yake [1].
Inasemekana alikuwa padri kutoka Bitinia (leo nchini Uturuki)[2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Mei[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90554
- ↑ Passio sancti Anthimi presbiteri et martiris, mense Maii die XI , et aliorum sanctorum (BHL 561) [= M 72]
- ↑ Bollandus, Acta Sanctorum, vol. II, 11 maggio pagg. 614-615
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |