Miniato wa Firenze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Miniato.

Miniato wa Firenze (alifia dini Firenze, Italia, 250 hivi) alikuwa Mkristo, labda kutoka Armenia[1], ambaye aliuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Decius[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Oktoba[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. St. Patrick Catholic Church: Saint of the Day. Saint Patrick Catholic Church (n.d.). Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-01-05. Iliwekwa mnamo May 20, 2009.
  2. Brucker, Gene (1998). Florence: The Golden Age, 1138–1737. University of California Press. pp. 194. ISBN 0-520-21522-2.  Unknown parameter |url-access= ignored (help)
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/75050
  4. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.