Werburga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Werburga katika kioo cha rangi cha kanisa kuu la Chester.

Werburga (pia: Wærburh, Werburh au Werburgh; Stone, Mercia, 650 hivi[1] - Trentham, Staffordshire, 3 Februari 699[2]) alikuwa malkia mdogo huko Uingereza.

Alianzisha monasteri kadhaa na hatimaye kujiunga na ile ya Ely ambayo ilianzishwa na kuongozwa na ndugu zake, akawa abesi wake baada ya mama yake, Mt. Ermenilda.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "St Werburgh's Roman Catholic Parish, Chester". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-10. Iliwekwa mnamo 2018-06-28. 
  2. ""History – St. Werburgh", The Parish Church of St. Werburgh, Spondon, (Church of England)". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2018-06-28. 
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.