Konrad wa Parzham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Konrad wa Parzham O.F.M. Cap. ni jina la kitawa la Yohane Birndorfer (Bad Griesbach, Passau, Ufalme wa Bavaria, leo nchini Ujerumani, 1818 - Altötting, Bavaria, 1894) alikuwa bruda wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini na kufanya kazi ya bawabu kwenye patakatifu pa Altötting kwa miaka 40 na zaidi.

Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri mwaka 1930 na mtakatifu mwaka 1934.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Aprili[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.