Abondi na Irenei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abondi na Irenei (walifariki Roma, Italia, 258[1]) ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa katika makao makuu ya Dola la Roma[2] wakati wa dhuluma ya serikali[3].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 23 Agosti[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Lapidge, Michael (2018). The Roman Martyrs: Introduction, Translations, and Commentary. United Kingdom: Oxford University Press. uk. 324. ISBN 9780198811367. 
  2. Abundius and Irenaeus Retrieved on 22 Mar 2018
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/67310
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.