Febadi
Mandhari
Febadi (kwa Kilatini pia: Phaebadius, Foegadius; alifariki 393 hivi[1]) alikuwa askofu wa Agen, leo nchini Ufaransa, walau kuanzia mwaka 357. Rafiki wa Hilari wa Poitiers, ni maarufu vilevile kwa msimamo wake katika imani sahihi akilinda waamini dhidi ya uzushi [2][3].
Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Aprili[4].
Maandishi
[hariri | hariri chanzo]Aliandika vitabu mbalimbali, kikiwemo kimoja dhidi ya Uario kilichotufikia na kinachoonyesha ubora mkubwa [5][6].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Mababu wa Kanisa
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jerome. De viris illustribus. Juz. la 108.
Phoebadius, bishop of Agen, in Gaul, published a book Against the Arians. There are said to be other works by him, which I have not yet read. He is still living, infirm with age.
Translated in Philip Schaff; Henry Wace, whr. (1892). De Viris Illustribus (On Illustrious Men). Juz. la 3. Ilitafsiriwa na Ernest Cushing Richardson. Buffalo, NY: Christian Literature Publishing Co.{{cite book}}
:|work=
ignored (help) - ↑ "Saint Phaebadius of Agen". CatholicSaints.Info. 25 Aprili 2017. Iliwekwa mnamo 17 Novemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/50720
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Wessel, Kurt (2008). "Phoebadius of Agen: Liber Contra Arianos" (PDF). University of Florida.
- ↑ Butler, Alban (1821). The lives of the fathers, martyrs, and other principal saints. Juz. la 4. London: John Murphy. ku. 273–274.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |