Nenda kwa yaliyomo

Fina mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa ukutani wa Benozzo Gozzoli ukimuonyesha Mt. Fina.
Mt. Fina amechorwa katika sahani ya kauri.

Fina wa Ciardi (12381253) alikuwa msichana Mkristo wa San Gimignano (Italia).

Alivumilia kwa imani kubwa maradhi ya kifua kikuu yaliyompata akiwa na umri wa miaka kumi tu.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Machi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. ^ Likely a diminutive of Serafina; possibly of Iosefina.
  2. ^ Today is the Collegiata of San Gimignano (the main church).
  3. ^ The public natural springs in S. Gimignano.
  4. ^ Bishop of Modena, died in 387. In legend, saved the citizens of the little town from the onslaughts of the Barbarian hordes in the 6th century.
  5. ^ The old Italian name was “Lo spedale”, the modern name is “L’ ospedale”.

Chanzo[hariri | hariri chanzo]

  • Iole Vichi Imberciadori – Fina dei Ciardi (1979)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.