Medadi
Mandhari

Medadi (kwa Kifaransa: Médard, Méard; Salency, Oise, Picardy, Ufaransa, 456 hivi – Noyon, Oise, 8 Juni 545[1] hivi) alikuwa askofu wa Saint-Quentin, lakini baada ya mji huo kuangamizwa alihamisha makao makuu ya jimbo hadi Noyon (531), alipofanya juu chini kufuta ushirikina na kuleta watu kumuamini Yesu Kristo [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Adrien Baillet, Les vies des saints, 1701, 3 volumes (tome 9, 1739).
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/56400
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 198
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 166-167
Marejeo ya lugha nyingine
[hariri | hariri chanzo]- Early Life, ed. B. Krusch, Monumenta Germaniae Historica, Auctores Antiquissimi, iv (part 2), 67–73
- Butler's Lives of the Saints, vi 66–67
- William Walsh, 1897. Curiosities of Popular Customs ...
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |