Senofonte, Maria na wanao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Senofonte, Maria na wanao Yohane na Arkadi (walifariki karne ya 6) walikuwa Wakristo wa Konstantinopoli ambao, kisha kujinyima hadhi ya kiseneta na mali nyingi, walishika maisha ya umonaki mjini Yerusalemu[1][2][3][4]

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 26 Januari[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/38720
  2. Great Synaxaristes: (Kigiriki) Ὁ Ὅσιος Ξενοφῶν μετὰ τῆς συμβίου του Μαρίας καὶ τῶν τέκνων Ἀρκαδίου καὶ Ἰωάννου. 26 Ιανουαρίου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  3. Venerable Xenophon of Constantinople. OCA - Lives of the Saints.
  4. (Kigiriki) Συναξαριστής. 26 Ιανουαρίου. ECCLESIA.GR. (H ΕΚΚΛΗΣΙΑ ΤΗΣ ΕΛΛΑΔΟΣ).
  5. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.