Nenda kwa yaliyomo

Yohane wa Matera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Yohane alivyochorwa katika karne ya 18.

Yohane wa Matera, O.S.B. (kwa Kiitalia: Giovanni Scalcione; Matera, Basilicata, 1070 hivi - Foggia, Puglia, 20 Juni 1139) alikuwa abati nchini Italia na mwanzilishi wa urekebisho wa Wabenedikto wa Pulsano ambao aliueneza sehemu mbalimbali[1].

Alikuwa maarufu kwa ugumu wa maisha na kwa mahubiri yake.

Alitangazwa mtakatifu na Papa Aleksanda III mwaka 1177.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 25 Juni[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Caravale, Mario (ed.), 2003: Dizionario Biografico degli Italiani. Rome

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.