Rosa Kim Nosa
Rosa Kim Nosa (1784 - Seoul, 20 Julai 1839) alikuwa Mkristo wa Rasi ya Korea aliyeuawa pamoja na Magdalena Yi Yonghui, Teresa Yi Maeim, Martha Kim Songim, Lusia Kim Nusia, Ana Kim Changgum, Maria Won Kwiim, na Yohane Mbatizaji Yi Kwangnyol [1].
Ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8,000 - 10,000.
Yeye[2] na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.[3]
Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea pamoja huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake [4].
Mazingira
[hariri | hariri chanzo]Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini[5] kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje (wanashirika wa Paris Foreign Missions Society)[6].
Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/63720
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/63720
- ↑ "Korea and the church of martyrs". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-25. Iliwekwa mnamo 2020-04-06.
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Michael Walsh, ed. "Butler's Lives of the Saints" (HarperCollins Publishers: New York, 1991), p. 297.
- ↑ The Liturgy of the Hours Supplement (New York: Catholic Book Publishing Co., 1992, pp. 17–18.
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 327-329
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 282-283
Marejeo ya lugha nyingine
[hariri | hariri chanzo]- Attwater, Donald and Catherine Rachel John (1993). The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
- Dallet, Charles (1874). Histoire de l'Église de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
- Dallet, Charles (1874). Histoire de l'Église de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
- Fathers of the London Oratory (1859). The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
- The Lives of the 103 Korean Martyr Saints (4): St. Chong Ha-sang Paul (1795-1839) Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine., Catholic Bishops' Conference of Korea Newsletter No. 29 (Winter 1999).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
- List and brief description of martyrs
- History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |