Ekwisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ekwisi (Italia ya Kati, 490 hivi - Amiterno, L'Aquila, Italia, 570 hivi) alikuwa mmonaki aliyeeneza sana maisha ya kitawa sambamba na Benedikto wa Nursia [1].

Papa Gregori I alitangaza sifa zake[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Agosti[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91219
  2. Dialogues (I,4 in PL, LXXVII, coll. 165-77)
  3. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.