L'Aquila
Jump to navigation
Jump to search
L'Aquila (maana yake Tai) ni makao makuu ya mkoa wa Abruzzo, Italia ya Kati.
Mji huo una wakazi 70,967 (2013).
![]() |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu L'Aquila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |