Nenda kwa yaliyomo

Fidoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fidoli (alifariki Troyes, leo nchini Ufaransa, 540 hivi) alikuwa mmonaki halafu abati baada ya mlezi wake Aventino wa Troyes aliyekuwa amemkomboa kutoka mikono ya mfalme wa Waostrogoti Theodoriki Mkuu [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Mei[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.