Kandida wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kandida wa Roma (alifariki Roma) alikuwa mwanamke wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa ajili ya imani yake [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mengi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.