Rupati wa Bingen
Mandhari
Rupati wa Bingen (kwa Kijerumani: Rupert; 712 - 732) alikuwa kijana wa Ujerumani, mtoto pekee wa Berta wa Bingen aliyemlea Kikristo baada ya kufiwa mumewe aliyekuwa kabaila Mpagani.
Walikwenda kuhiji Roma, halafu walitumia mali zao nyingi kusaidia maskini na kujenga makanisa mbalimbali na hatimaye walikwenda kuishi upwekeni karibu na mto Rhine[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 15 Mei[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Herbert J. Thurston and Donald Attwater, eds. Butler's Lives of the Saints, vol. 2. Allen, TX: Christian Classics, 1956. Page 322.
- Anne H. King-Lenzmeier: Hildegard of Bingen: An Integrated Vision. Liturgical Press, Colledgeville 2001, ISBN 0-8146-5842-3, S. 122.
- Werner Lauter: Rupert von Bingen. In: Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL). Band 8, Bautz, Herzberg 1994, ISBN 3-88309-053-0, Sp. 1018–1021.
- Ernst Probst: Hildegard von Bingen - Die deutsche Prophetin. GRIN, München/Ravensburg 2010, ISBN 3-640-68859-7, S. 19, 20 & 52.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- http://www.hildegard.org/rupert/rupert.html
- http://kirchensite.de/fragen-glauben/heiligenkalender/heiligenkalender-einzeldarstellung/datum/2000/05/15/heiliger-rupert-von-bingen/ Ilihifadhiwa 7 Julai 2017 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |