Nenda kwa yaliyomo

Malaika Rafaeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Rafaeli Malaika Mkuu)
Mt. Rafaeli Malaika mkuu alivyochorwa na Bartolomé Esteban Murillo.
Mchoro rahisi wa Rafaeli na samaki.

Malaika Rafaeli (kwa Kiebrania רָפָאֵל, Rāfāʾēl, "Mungu anaponya" au "Mungu, ponya!") ni malaika anayetajwa na Kitabu cha Tobiti[1] katika Deuterokanoni. Kwa hiyo anaheshimiwa na madhehebu yanayokubali kitabu hicho kama sehemu ya Biblia.

Katika Uislamu ni sawa na malaika Israfili.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Septemba[2][3]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/21700
  2. Martyrologium Romanum
  3. Sikukuu ya Kianglikana huitwa “Michael na Malaika Wote” (kwa Kiingereza Michael and All Angels).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.