Antonio Maria Gianelli
Mandhari
Antonio Maria Gianelli (Cereta, karibu na Mantova, 12 Aprili 1789 – Piacenza, 7 Juni 1846) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika Jimbo Katoliki la Bobbio, Italia Kaskazini, kuanzia mwaka 1837 hadi kifo chake[1].
Katika juhudi zake kwa mahitaji ya kiroho na ya kimwili ya watu, alianzisha mashirika ya kitawa ya Mabinti wa Bibi Yetu wa Bustani na Wamisionari wa Mt. Alfonsi.
Aliacha mfano mwangavu wa mtu aliyewajibika kusaidia maskini, kuokoa roho na kuinua maadili ya mapadri wake.
Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius XI tarehe 19 Aprili 1925, halafu mtakatifu na Papa Pius XII tarehe 21 Oktoba 1951[2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Sant'Antonio Maria Gianelli". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 17 Septemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Saint Anthony Mary Gianelli". Saints SQPN. 7 Juni 2009. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Antonio Pellicani (1876). Compendio della vita di monsignor Antonio Gianelli, vescovo di Bobbio (kwa Italian). Parma: Tipografia Fiaccadori.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - Garofalo, Salvatore (2011). Un grande vescovo per una piccola diocesi. Sant'Antonio Maria Gianelli (kwa Italian). Cinisello Balsamo (Milano): San Paolo. ISBN 978-88-215-7064-3.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Hagiography Circle
- Saints SQPN
- Catholic Hierarchy
- Gianelline Archived 8 Mei 2015 at the Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |