Atanasia wa Egina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Atanasia wa Egina (kisiwa cha Egina, Ugiriki, 790 hivi - Timia, Ugiriki, 14 Agosti, 860) alikuwa mwanamke mjane aliyeanzisha monasteri, lakini hatimaye akajifungia katika chumba karibu na kanisa akawa maarufu kwa kushika maadili na nidhamu ya kimonaki [1].

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Aprili[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.