Nenda kwa yaliyomo

Martino wa Msalaba Mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Martino wa Leon na Mt. Isidori wa Sevilia akiwa amemtokea.

Martino wa Msalaba Mtakatifu (pia: Martino wa Leon; 113012 Januari 1203) alikuwa padri wa Watawa Wakanoni, mwenye ujuzi mkubwa wa Maandiko matakatifu huko Léon, Hispania, alioushirikisha kwa njia ya vitabu pia[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Januari.[2]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Martin wrote commentaries on different Epistles and the Apocalypse, and he left numerous discourses on the many varied subjects. His complete works were published first by Espinosa (Seville, 1782), Migne in Patrologia Latina, LXXXI, 53-64, CCVIII, CCIX (Paris, 1855).
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.