Deusdedit wa Canterbury

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa kaburi la Deusdedit huko St Augustine's Abbey, Canterbury. Makaburi mengine ni ya Justus, Mellitus na Laurence.

Deusdedit (alifariki mwaka 664 hivi[1]) kuanzia mwaka 655 alikuwa askofu mkuu wa Canterbury, wa kwanza mwenye asili ya Kigermanik.

Ingawa maisha yanajulikana kidogo tu, ni kwamba tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki na Waanglikana tarehe 14 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

 1. There is some controversy over the exact date of Deusdedit's death, owing to discrepancies in the medieval written work that records his life.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

   .
   .
   . http://www.oxforddnb.com/view/article/7560. Retrieved 21 August 2010. Kigezo:ODNBsub

Marejeo mengine[hariri | hariri chanzo]

 • Orchard, N. (1995). "The Bosworth Psalter and the St Augustine's Missal". Canterbury and the Norman Conquest. London: Hambledon Press. pp. 87–94. ISBN 1-85285-068-X
   .
 • Sharpe, R. (1995). "The Setting to St Augustine's Translation, 1091". Canterbury and the Norman Conquest. London: Hambledon Press. pp. 1–13. ISBN 1-85285-068-X
   .
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.