Justus wa Canterbury

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaburi la Mt. Justus huko Canterbury.

Justus wa Canterbury (alifariki 10 Novemba 627/631) kuanzia mwaka 624 alikuwa askofu mkuu wa nne wa Canterbury (Uingereza)[1].

Alikuwa ametumwa huko na Papa Gregori I mwaka 601 kama mmisionari kwa Waangli na Wasaksoni kwa ombi la Augustino wa Canterbury.

Miaka 604-624 alikuwa askofu wa kwanza wa Rochester.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana tarehe 10 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "St. Justus of Canterbury". Patron Saints Index. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 June 2009. Iliwekwa mnamo 3 November 2007.  Unknown parameter |df= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Bede (1988). A History of the English Church and People. Sherley-Price, Leo (translator). New York: Penguin Classics. ISBN 0-14-044042-9. 
  • Blair, Peter Hunter (1990) [1970]. The World of Bede (toleo la Reprint). Cambridge, UK: Cambridge University Press. ISBN 0-521-39819-3. 
  • Brooks, Nicholas (1984). The Early History of the Church of Canterbury: Christ Church from 597 to 1066. London: Leicester University Press. ISBN 0-7185-0041-5. 
  • Brooks, Nicholas (2006). "From British to English Christianity: Deconstructing Bede's Interpretation of the Conversion". Conversion and Colonization in Anglo-Saxon England. Tempe, AZ: Arizona Center for Medieval and Renaissance Studies. pp. 1–30. ISBN 0-86698-363-5
      .
     . http://www.oxforddnb.com/view/article/18531. Retrieved 7 November 2007. Kigezo:ODNBsub
  • Campbell, A., mhariri (1973). Charters of Rochester. Anglo-Saxon Charters 1. London: British Academy/ Oxford University Press. ISBN 0-19-725936-7. 
  • Campbell, James. "The First Century of Christianity in England". Essays in Anglo-Saxon History. London: Hambledon Press. pp. 49–68. ISBN 0-907628-32-X
      .
  • Colgrave, Bertram (2007) [1968]. "Introduction". The Earliest Life of Gregory the Great (Paperback reissue ed.). Cambridge, UK: Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-31384-1
      .
      .
     . http://www.oxforddnb.com/view/article/15176. Retrieved 7 November 2007. Kigezo:ODNBsub
      .
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.