Nenda kwa yaliyomo

Melitus wa Canterbury

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaburi la Mt. Melitus huko Canterbury.

Melitus wa Canterbury (kwa Kilatini: Mellitus; alifariki 24 Aprili 624) alikuwa askofu mkuu wa tatu wa Canterbury (Uingereza) kuanzia mwaka 619 [1].

Alikuwa ametumwa huko na Papa Gregori I mwaka 601 kama abati mmisionari kwa Waangli na Wasaksoni kwa ombi la Augustino wa Canterbury. Papa huyo alimuandikia barua maarufu [2].

Miaka 604-619 alikuwa askofu wa kwanza wa London alipopata matatizo mengi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Aprili[3][4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "St. Mellitus of Canterbury". Catholic Online. Accessed on 12 November 2009
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/50670
  3. Martyrologium Romanum
  4. Holford-Strevens and Blackburn Oxford Book of Days p. 170

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.