Maria wa Kleopa
Mandhari

Maria wa Kleopa (kwa Kigiriki Μαρία ἡ τοῦ Κλωπᾶ, María hē tou Clōpá) alikuwa mwanamke Myahudi aliyemfuata Yesu Kristo hadi msalabani huko Kalivari (Yoh 19:25)[1].
Haieleweki vizuri kama alikuwa binti au mke wa huyo Kleopa. Wengine wanadhani ndiye aliyetajwa kati ya wanawake waliokwenda kaburini Jumapili asubuhi na mapema kadiri ya Mk 16:1 kama Maria wa Yakobo (bin Alfayo) kwa maana ya mama yake[2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 24 Aprili[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/49100
- ↑ S. S. Smalley, Dean Emeritus of Chester Cathedral, England. "Mary," New Bible Dictionary, 1982 p. 793.
- ↑ Martyrologium Romanum
| Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maria wa Kleopa kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |