Nenda kwa yaliyomo

Konstantino wa Britania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Konstantino wa Britania (Dumnonia, Uingereza, 520 hivi - Kintyre, Uskoti, 9 Mei 576) alikuwa mfalme mkatili na mzinzi wa Cornwall[1] kuanzia mwaka 537.

Kisha kuongokea Ukristo, aliacha utawala akawa mmonaki nchini Ireland. Miaka saba baadaye alipewa upadirisho akatumwa kuinjilisha Uskoti chini ya Kolumba. Huko alianzisha monasteri ya Govon aliyoiongoza kama abati hadi alipouawa na Wapagani[2].

Tangu kale anaadhimishwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa tarehe 11 Machi[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Benson, Larry D.; Foster, Edward E., whr. (1994). "Alliterative Morte Arthure". d.lib.rochester.edu. University of Rochester: TEAMS Middle English Texts Series. Iliwekwa mnamo 20 Februari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Benson, Larry D. (1976). Malory's Morte D'Arthur. Harvard University Press. ISBN 0674543939.
  • Blaess, Madeleine (1956). "Arthur's Sisters". Bulletin Bibliographique de la Société Internationale Arthurienne. 8: 69–77.
  • Bromwich, Rachel (2006). Trioedd Ynys Prydein: The Triads of the Island of Britain. University of Wales Press. ISBN 0-7083-1386-8.
  • Bruce, Christopher W. (1999). The Arthurian Name Dictionary. Taylor & Francis. ISBN 0815328656. Iliwekwa mnamo 26 Februari 2014.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Clarkson, Tim (Winter 1999). "Rhydderch Hael". The Heroic Age. 1 (2). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Aprili 2010. Iliwekwa mnamo 15 Septemba 2010.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Dichmann, Mary E. (1964). "The Tale of King Arthur and the Emperor Lucius". In Lumiansky, R. M.. Malory's Originality: A Critical Study of Le Morte Darthur. Johns Hopkins University Press. pp. 67–90. ISBN 0801804035
      .
  • Finazzi-Agrò, Ettore (1978). A novelística portuguesa do século XVI (kwa Kireno). Instituto de Cultura e Língua Portuguesa. ku. 45–48. ASIN B000ZQ4P8M. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2014-10-10. Iliwekwa mnamo 4 Novemba 2014. {{cite book}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Fisher, IV, Benjamin Franklin (1990). "King Arthur Plays from the 1890s". Victorian Poetry. 28 (3/4): 153–176. JSTOR 40002298.
  • Grylls, David. "The play's the thing - or is it? - A new 'Shakespeare' provokes both scholarly dispute and a teasingly postmodern domestic drama", 9 October 2011. 
  • Geoffrey of Monmouth (2007). Huber, Emily Rebekah (mhr.). "Arthur from the Vita Merlini". d.lib.rochester.edu/camelot-project. The Camelot Project, University of Rochester. Iliwekwa mnamo 8 Julai 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Hoburg, Tom (1992). "In Her Own Right: The Guenevere of Parke Godwin". In Slocum, Sally K.. Popular Arthurian Traditions. Bowling Green State University Popular Press. pp. 68–79. ISBN 0879725621
      .
      . https://books.google.com/books?id=Bk0HUmtGlEsC&pg=PA167.
      . https://books.google.com/books?id=hf6zAAAAQBAJ&q=rht.
      . https://books.google.com/books?id=hf6zAAAAQBAJ&q=rht.
      . https://books.google.com/books?id=KkBSujrlYRAC&pg=PA31.
      .
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.