Burkado wa Wurzburg
Mandhari
Burkado wa Wurzburg (alifariki Wurzburg, Ujerumani, 754 hivi) alikuwa Mkristo kutoka Uingereza aliyekwenda kama mmisionari huko Ujerumani, halafu akawekwa na Bonifasi wa Fulda kuwa askofu wa kwanza wa mji huo (741-751).
Mwisho aling'atuka[1] akaenda kuishi upwekeni.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Wakristo wengineo kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 2 Februari ya kila mwaka[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Friedrich Wilhelm Bautz: Burchard. In: Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL). Band 1, Bautz, Hamm 1975. 2., unveränderte Auflage Hamm 1990, ISBN 3-88309-013-1, Sp. 816–817.
- Wilhelm Engel: Burchard. In: Neue Deutsche Biographie (NDB). Band 3, Duncker & Humblot, Berlin 1957, ISBN 3-428-00184-2, S. 29 (Digitalisat).
- Heinrich Hahn: Burghard. In: Allgemeine Deutsche Biographie (ADB). Band 3, Duncker & Humblot, Leipzig 1876, S. 564–566.
- Konrad Schäfer, Heinrich Schießer: Leben und Wirken des hl. Burkhard (= Bad Neustädter Beiträge zur Geschichte und Heimatkunde Frankens. Band 4). Bad Neustadt a. d. Saale 1986, ISBN 978-3-9800482-4-8.
- Heinrich Wagner: Würzburger Diözesan Geschichtsblätter (WDGB). Band 65, 2003 (Die Würzburger Bischöfe 741-842), S. 17–43.
- Alfred Wendehorst: Burchard (Nr. 14). In: Lexikon des Mittelalters (LexMA). Band 2, Artemis & Winkler, München/Zürich 1983, ISBN 3-7608-8902-6, Sp. 951.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- http://www.santiebeati.it/dettaglio/91258
- https://web.archive.org/web/20150110042227/http://www.weyer-neustadt.de/content/DesktopDefault.aspx?tabid=180
- https://web.archive.org/web/20150110042227/http://www.weyer-neustadt.de/content/DesktopDefault.aspx?tabid=180
- Burkard in the Frisian Chronicle
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |