Dorotea na Theofili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Dorotea wa Kaisarea.

Dorotea na Theofili (Kaisarea wa Kapadokia, leo nchini Uturuki, 311 hivi) waliuawa kwa imani ya Kikristo katika dhuluma ya Dola la Roma[1].

Dorotea alikuwa bikira na Theofili mwalimu[2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Februari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. santiebeati.it/dettaglio/91369
  2. Joseph Martin Peterson, The Dorothea Legend: Its Earliest Records, Middle English Versions, and Influence of Massinger’s "Virgin Martyr" (University of Heidelberg, 1910), 13.
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Butler, Alban. The Lives of the Saints. Rockford, Illinois: Tan Books and Publishers, 1995. (Originally published 1878.) Nihil obstat and Imprimatur 1955.
  • Englebert, Omer. The Lives of the Saints. Christopher and Anne Fremantle, trans. New York: Barnes & Noble Books, 1994. Nihil obstat and Imprimatur 1951.
  • Harvey, Sir Paul, ed. The Oxford Companion to English Literature. 4th ed. New York: Oxford University Press, 1967.
  • Peterson, Joseph Martin, The Dorothea Legend: Its Earliest Records, Middle English Versions, and Influence of Massinger’s "Virgin Martyr" (University of Heidelberg, 1910).
  • The Swedish Nationalecyklopedin Volume 5 p. 102
  • Medeltidens ABC edited by The Swedish national museum of history p. 93, 276.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.