Nenda kwa yaliyomo

Probo wa Rieti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Probo wa Rieti (kwa Kilatini: Probus; alifariki 571 hivi) alikuwa askofu wa mji huo wa Italia ya Kati.

Papa Gregori I alimsifu na kusimulia kifo chake cha ajabu katika hotuba[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.