Antusa wa Eskihisar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antusa wa Eskihisar (pia: wa Mantinea; karne ya 7Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 759) alikuwa mkaapweke mlimani[1], halafu abesi wa monasteri aliyoianzisha kwa wamonaki wanawake[2][3], wakati ile aliyoianzisha kwa wanaume iliongozwa na mtoto wa ndugu yake.

Aliteswa na kupelekwa uhamishoni kwa kumpinga kaisari Konstantino V aliyekataza picha takatifu[4][5].

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Julai[6].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Venerable Anthusa, Abbess of Mantinea in Asia Minor, and her 90 sisters". Orthodox Church in America. Iliwekwa mnamo 7 July 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Dunbar, Agnes B.C. (1901). A Dictionary of Saintly Women. Volume 1. London: George Bell & Sons. uk. 76. 
  3. Kaplan, Michael (2020). "The Economy of Byzantine Monasteries". Katika Beach, Alison I.; Cochelin, Isabelle. The Cambridge History of Medieval Monasticism in the Latin West. New York: Cambridge University Press. uk. 345. ISBN 1108770630. 
  4. Watkins, Basil (2015). The Book of Saints: A Comprehensive Biographical Dictionary (kwa Kiingereza) (toleo la 8th). London: Bloomsbury Publishing. ISBN 978-0-567-66415-0. 
  5. https://www.santiebeati.it/dettaglio/92802
  6. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.