Amatori, Petro na Ludoviko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Amatori, Petro na Ludoviko (walifariki Cordoba, Hispania, 30 Aprili 855) walikuwa padri na rafiki zake, Petro akiwa mmonaki na mwingine ndugu wa Paulo shemasi[1] waliouawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu ya kumhubiri Yesu[2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 30 Aprili[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Cf. Valeriano Ordóñez, Los santos, noticia diaria, Barcelona 1991, p. 171.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90564
  3. Martyrologium Romanum
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.