Alberti wa Louvain
Mandhari

Alberti wa Louvain (Louvain, leo nchini Ubelgiji, 1166 hivi – Reims, Champagne-Ardenne, Ufaransa, 24 Novemba 1192) alikuwa kwa miezi michache askofu wa Liège (leo nchini Ubelgiji) na kardinali hadi alipouawa bado kijana kwa kutetea uhuru wa Kanisa dhidi ya serikali iliyokuwa imeshampeleka uhamishoni [1][2].
Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mtakatifu mfiadini tarehe 9 Agosti 1613.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Vita Alberti episcopi Leodiensis was probably written around 1194 or 1195 by an anonymous monk of Lobbes, from information supplied by Abbot Werrich, who knew Albert well. Although a panegyric for the murdered bishop, Raymond H. Schmandt considers it generally accurate. A different viewpoint is found in the Chronicon Hanoniense of Gislebert of Mons, written shortly after 1196.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/78940
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
